18 Jun 2020 Video Nature Action

Hatua za Kutunza Mazingira Siku ya Mazingira Duniani

Kuanzia nchi zinazoweka sera hadi kwa wahamasishaji wa #TutunzeMazingira, hatua kubwa zilipigwa mwaka wa 2020 zilizoonyesha huduma kuu tunazonufaika nazo kutoka kwa bayoanuai wakati wa Siku ya Mazingira Duniani.