12 Sep 2019 Video Haki na usimamizi wa mazingira

Joyce Msuya azindua tovuti ya Kiswahili

Naibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la mazingira la Umoja wa mataifa, Joyce Msuya azindua tovuti ya Kiswahili  akisema itawapa wazungumzaji wa lugha hii nafasi ya kushiriki na UNEP kuhusu changamoto za mazingira na kuwawezesha kutoa maoni yao kuhusu kazi ya UNEP.

Maudhui Yanayokaribiana