Mshindi wa Tuzo la Vijana Bingwa Duniani wa eneo la Asia na Pasifiki, Sonika Manadhar alianzisha jukwaa la Green Energy Mobility (GEM) katika nchi yake ya Nepal.