13 Mar 2020 Video Nature Action

Kutembea masafa marefu ili Kuikoa Miti ya Shea Barani Afrika

Mganda, aliyekuwa mwalimu wa bayolojia na mkiambiaji wa masafa marefu Gerima Mustafa amemaliza kutembea umbali wa kilomita 664 katika eneo la Afrika Mashiriki ili kuhamasisha kuhusu hali ya miti ya shea katika eneo analotoka kaskazini magharibi mwa Uganda, eneo la Sudan na eneo la Sudan Kusini.