Skip to main content

UNEP KATIKA MWAKA WA 2022

  • Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji
  • UNEP kupitia Takwimu
  • UNEA-5
  • Kushughulikia Sayari
  • Kupanua ufikiaji wa UNEP
  • Ufadhili wa UNEP
    • English
    • العربية
    • Español
    • Français
    • Kiswahili
    • Português
    • Русский
    • 简体中文
  • Pakua PDF

UNEP KATIKA MWAKA WA 2022

  • Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji
  • UNEP kupitia Takwimu
  • UNEA-5
  • Kushughulikia Sayari
  • Kupanua ufikiaji wa UNEP
  • Ufadhili wa UNEP
  • Pakua PDF
  • EN
  • AR
  • CN
  • ES
  • FR
  • RU
  • PT
  • SW

ni kiwango cha idadi ya magari yatakayoondolewa barabarani kila mwaka kupunguza uchafuzi wa hewa kupitia kazi ya mwanga bora inayoungwa mkono na UNEP nchini Pakistan na Indonesia

  • Read more about ni kiwango cha idadi ya magari yatakayoondolewa barabarani kila mwaka kupunguza uchafuzi wa hewa kupitia kazi ya mwanga bora inayoungwa mkono na UNEP nchini Pakistan na Indonesia

ni kiwango cha idadi ya magari yatakayoondolewa barabarani kila mwaka kupunguza uchafuzi wa hewa kupitia kazi ya mwanga bora inayoungwa mkono na UNEP nchini Pakistan na Indonesia

ni jumla ya idadi ya watu wanaotarajiwa kunufaika na kazi ya UNEP ya shushughulikia mifumo ya ekolojia kutegemea eneo

  • Read more about ni jumla ya idadi ya watu wanaotarajiwa kunufaika na kazi ya UNEP ya shushughulikia mifumo ya ekolojia kutegemea eneo

ni jumla ya idadi ya watu wanaotarajiwa kunufaika na kazi ya UNEP ya shushughulikia mifumo ya ekolojia kutegemea eneo

ni kiwango cha ongezeko zaidi la joto duniani ambalo linaweza kuepukika kupitia Mkataba wa Montreal kwa kutunza vitekaji vya gesi ya ukaa kutoka kwa mionzi ya urujuani

  • Read more about ni kiwango cha ongezeko zaidi la joto duniani ambalo linaweza kuepukika kupitia Mkataba wa Montreal kwa kutunza vitekaji vya gesi ya ukaa kutoka kwa mionzi ya urujuani

ni kiwango cha ongezeko zaidi la joto duniani ambalo linaweza kuepukika kupitia Mkataba wa Montreal kwa kutunza vitekaji vya gesi ya ukaa kutoka kwa mionzi ya urujuani

idadi ya malengo madhubuti yanayohitaji kufikiwa kufikia mwaka wa 2030 chini ya mfumo mpya, Mfumo wa Bayoanuai Duniani

  • Read more about idadi ya malengo madhubuti yanayohitaji kufikiwa kufikia mwaka wa 2030 chini ya mfumo mpya, Mfumo wa Bayoanuai Duniani

idadi ya malengo madhubuti yanayohitaji kufikiwa kufikia mwaka wa 2030 chini ya mfumo mpya, Mfumo wa Bayoanuai Duniani

ni kiasi ambacho plastiki zinazoingia baharini zinaweza kupunguzwa kupitia hatua za uchumi unatumia bidhaa tena na tena, ikiwa ni pamoja na chini ya mpango wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ulioanzwa kujadiliwa na mataifa mwaka wa 2022

  • Read more about ni kiasi ambacho plastiki zinazoingia baharini zinaweza kupunguzwa kupitia hatua za uchumi unatumia bidhaa tena na tena, ikiwa ni pamoja na chini ya mpango wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ulioanzwa kujadiliwa na mataifa mwaka wa 2022

ni kiasi ambacho plastiki zinazoingia baharini zinaweza kupunguzwa kupitia hatua za uchumi unatumia bidhaa tena na tena, ikiwa ni pamoja na chini ya mpango wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ulioanzwa kujadiliwa na mataifa mwaka wa 2022

Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji

  • Read more about Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji

Kupitia njia nyingi, 2022 ulikuwa mwaka wa juhudi mpya za kushughulikia mazingira. Kuelekea mwanzoni mwa mwaka, katika Kikao cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa, Nchi Wanachama zilipitisha maazimio ya kihistoria ya kuimarisha juhudi za kukabiliana na uchafuzi, kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, na kutunza na kuboresha mazingira kote ulimwenguni.

Pagination

  • First page « First
  • Previous page ‹ Previous
  • Page 1
  • Page 2
  • Page 3
  • Page 4
  • Page 5
  • Page 6
  • Current page 7

Chapisho hili linaweza kunakiliwa lote au sehemu yake na kwa namna yoyote kwa madhumuni ya elimu au yasiyokuwa ya biasharaa bila ruhusa maalum kutoka kwa mmiliki wa hakimiliki imradi unaonyesha chanzo chake. Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa litafurahia kupokea nakala ya chapisho lolote linalotumia chapisho hili kama chanzo. Hairuhusiwi kuchapisha chapisho hili ili kuliuza tena au kwa madhumuni mengine yoyote ya kibiashara bila kibali kupitia maandishi kutoka kwa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa. Uteuzi wa mashirika kijiografia katika ripoti hii, na uwasilishaji wa makala humu, haimaanishi utoaji wa maoni ya aina yoyote kwa upande wa mchapishaji au mashirika yanayoshiriki kuhusu hadhi kisheria ya nchi yoyote, kanda au eneo, au ya mamlaka yake, au kuhusu uwekaji wa mipaka yake. Wa Kumtaja: Isipokuwa imeonyeshwa vinginevyo, data yote katika chapisho hili imetolewa kutoka kwa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa. Kwa taarifa zaidi: unep.org/annualreport.

© Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, 2023

Pitia ripoti za awali za kila mwaka

Pakua PDF