Skip to main content
  • UN Environment Programme
  • Vijana Bingwa Duniani
  • Kuhusu Tuzo
  • Laureates
  • Habari na Matukio
  • Videos
  • Pendekeza
  • Assets
  • Kuhusu Tuzo
  • Laureates
  • Habari na Matukio
  • Videos
  • Pendekeza
  • Assets
  • English
  • العربية
  • 简体中文
  • Français
  • Portuguese
  • Русский
  • Español
  • Swahili

Mabingwa wa Dunia Mwaka wa 2018

Washindi saba wa tuzo za Dunia walitangazwakatika mwaka wa 2018.

Emmanuel Macron

Uongozi wa sera
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amelipa swala la utunzaji wa mazingira kipau mbele katika ajenda yake ya nchi za kigeni. Anatambuliwa kwa kupigania kuwepo kwa Muungano wa Kimatai…

Impossible Foods na Beyond Meat

Sayansi Na Ubunifu
Impossible Foods na Beyond Meat walishinda kwa pamoja Tuzo la Mabingwa wa Dunia, katika kitengo cha Sayansi na Ubunifu. Wanatoa vibadala vya kudumu kwa baga za nyama ya ng'ombe amb…

Joan Carling

Mafanikio Ya Kudumu
Joan Carling amekuwa akipigania haki za ardhi na za mazingira ya watu wa kiasili kwa zaidi ya miaka 20. Alishiriki kikamilifu katika Jukwaa la Mapatano la Umoja wa Mataifa kuhusu M…

Narendra Modi

Uongozi wa sera
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa linamutambua Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa uungozi wake wa kishujaa kuhusiana na masuala ya mazingira katika ngazi ya kimataifa. C…

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin

Maono Ya Ujasiriamali
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin ni uwanja wa ndege wa kwanza kutumia nishati ya jua duniani. Hutekeleza kazi zake zote kwa kutumia nishati ya jua. Ni uwanja wa ndege mkubwa…

Zhejiang

Motisha Na Kuchukua Hatua
Mkoa wa Zhejiang ulipata jina lake kutoka kwa Mto Zhe, kwa maana ya mto "usionyooka" au "uliopinda". Mito katika mkoa wa Zhejiang ina umuhimu kwa jamii kutoka kitambo, inatiririka…

Vitengo vya tuzo

Maono ya Ujasiriamali

Sayansi na Ubunifu

Motisha na Kuchukua Hatua

Mafanikio ya Kudumu

Uongozi Unaozingatia Sera

Washindi Wote
Washindi Kuzingatia Kitengo
Washindi kuzingatia Mwaka
  • Kuhusu Tuzo
  • Laureates
  • Habari na Matukio
  • Videos
  • Pendekeza
  • Assets

Tuzo la Mabingwa wa Dunia, tuzo la Umoja wa Mataifa la ngazi ya juu hutolewa kwa heshima ya mazingira kwa viongozi wa kipekee serikalini, kwa mashirika ya uraia na kwa sekta binafsi kwa juhudi zao zinazosababisha mabadiliko chanya kwa mazingira.

#MabingwaWaDunia

© United Nations Environment Programme Terms of Use