Mabingwa wa Dunia Mwaka wa 2022

Mabingwa wa Dunia hushughulikia mazingira kwa njia bunifu ili kuyawezesha kujiboresha kwa njia za kipekee. Awamu ya mwaka wa 2022 inaangazia juhudi za kuzuia, kusitisha na kukabiliana na uharibifu wa mifumo ya ekolojia kote ulimwenguni.