UNEA-6 inaongozwa na Ofisi na Rais wake. 

Ofisi ya UNEA-6 ilichaguliwa kwa muda wa miaka miwili kuanzia mwishoni mwa kikao cha tano cha UNEA mwezi wa Machi mwaka wa 2022 na ina wajumbe kumi, ikiwa ni pamoja na Rais mmoja, Makamu wa Rais wanane na mwandishi wa mikutano mmoja katika ngazi ya Mawaziri, na wajumbe wawili wanaowakilisha kila mojawapo ya kanda tano za Umoja wa Mataifa. 

Kuhusiana na kazi ya Ofisi na utaratibu wake wa kufanya kazi:  

 

Rais

president

 

Mheshimiwa Leila Benali

Rais wa UNEA na Waziri wa Mabadiliko ya Nishati na Maendeleo Endelevu wa Morocco

 

Makamu wa Rais

Silvio

Mheshimiwa Silvio Jose Albuquerque e Silva

Makamu wa Rais wa UNEA na Mwakilishi wa Kudumu wa Brazil kwa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na Balozi Mwakilishi wa Kipekee wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil.

 

Gonzales

Mheshimiwa Susana Muhamad Gonzales

Makamu wa Rais wa UNEA na Waziri wa Mazingira na Maendeleo Endelevu wa Colombia

 

jafar

Mheshimiwa Jafar Barmaki

Makamu wa Rais wa UNEA, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa UNEP na UN-Habitat wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 

 

Oleksandr

Mheshimiwa Sherry Rehman

Makamu wa Rais wa UNEA na Waziri wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Pakistan

 

H.E. Mr. José Duarte Piteira Rica Silvestre Cordeiro

Mheshimiwa Duarte Cordeiro

Makamu wa Rais wa UNEA na Waziri wa Mazingira na Ushughulikiaji wa Tabianchi wa Ureno

 

H.E. Mr. José Duarte Piteira Rica Silvestre Cordeiro

Mheshimiwa Alioune Ndoye

Makamu wa Rais wa UNEA na Waziri wa Mazingira na Maendeleo Endelevu na Mabadiliko ya Ekolojia wa Senegal

 

Norbert Kurilla

Mheshimiwa Norbert Kurilla

Makamu wa Rais wa UNEA na Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Slovakia

 

Hakuna mtu

 

 

Mwandishi wa mikutano

Oleksandr

Mheshimiwa Oleksandr Krasnolutskyi

Mwandishi wa mikutano wa UNEA na Waziri wa Utunnzaji wa Mazingira na Malighafi wa Ukraine

WHEN:
26 Feb 2024 - 1 Mar 2024
WHERE:
Nairobi, Kenya

Pakua aouu rasmi ya UNEA

Pata atiba za vikao, matangazo, ramani na taarifa kwa wakati halisi popote ulipo. Pakua apu ya UNEA kwa kutumia kifaa kilichopo hapo chini.

Android

iOS