Photo by UNEP
14 Jan 2021 Video Kushughulikia Mazingira

Jinsi ya kuimarisha juhudi za kukabiliana mabadiliko ya tabianchi

Photo by UNEP

Kwa mjibu wa ripoti hiyo, kupunguza uzalishaji wa gesi ya ukaa kutapunguza athari na gharama zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi. Kufikia lengo la nyuzijoto 2 kama inavyohitajika chini ya Mkataba wa Paris kunaweza kupunguza hasara kwa mwaka kufikia asilimia 1.6, ikilinganishwa na asilimia 2.2 itayowezesha kufikia nyuzijoto 3. Ijapokuwa janga la COVID-19 linatarajiwa kuathiri uwezo wa nchi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kuwekeza  kwenye ushughulikiaji wa mabadiliko ya tabianchi kutegemea na eneo ni uamuzi utakakuwa na manufaa kwa uchumi.