19 Mar 2020 Tukio Nature Action

Mipasho kuhusu mikutano na kazi ya UNEP

Kama taasisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa, Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) limechukua hatua kutokana na mkurupuko wa Virusi Vipya vya Korona vya COVID-19. Meneja na wafanyakazi, wengi wao ambao wanafanyia kazi nyumbani, wanashirikiana na wabia wote muhimu kuhakikisha kuwa kazi ya UNEP inaendelea.

Kutokana na ushauri kuhusu afya ya umma na kudhibiti usafiri, kuna mikutano ambayo imefutiliwa mbali au kuahirishwa. Majadaliano ya kuhamisha baadhi ya mikutano mtandaoni yanaendelea.

Ikiwezekana sehemu ya mikutano katika tovuti ya UNEP  inasasaishwa

 

Taarifa zinazokaribiana

United Nations COVID-19 information portal

World Health Organization technical guidance and more