17 February 2022 Ripoti

Ripoti ya Masuala Ibuka Mwaka wa 2022: Kelele, Mioto na Kutoingiliana

Waandishi: UNEP
Jalada la ripoti

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) hufanya kazi ili kutambulisha na kushughulikia masuala ibuka yanayoathiri mazingira. Ripoti ya UNEP ya Masuala Ibuka inaendeleza kazi hii kwa kutambulisha changamoto za mazingira na masuhuhisho yake ili kuzishughulikiwa kikamilimu kwa mda unaofaa. Baadhi ya masuala yanaweza kuhusu tu eneo, yanaweza kuwa madogomadogo kwa sasa, ila yana uwezekano wa kuenea maeneo mengine au kuathiri ulimwengu mzima yasiposhughulikiwa mapema.

Ni masuala yepi ibuka yanayoangaziwa kwenye toleo la mwaka wa 2022 la Ripoti ya Masuala Ibuka: Kelele, Mioto na Kutoingiliana?

  1. Sura kwa Anwani ya Kusikiliza Miji: Kuanzia Mazingira Ya Kelele hadi kwa Mandhari ya Sauti za  Kupendeza inaangazia uchafuzi wa kelele na madhara yake ya muda mrefu kwa afya ya mwili na akili, pamoja na hatua zinazoweza kutekelezwa ili kubuni na kukuza sauti za kupendeza mijini.
  1. Sura kwa Anwani ya Mioto Misituni chini ya Mabadiliko ya Tabianchi Suala Nyeti inaangazia nafasi ya mabadiliko ya tabianchi na shughuli za binadamu kwa mabadiliko ya ruwaza ya mioto misituni kote ulimwenguni, athari za mioto misituni kwa mazingira na kwa afya ya binadamu, na mikakati inayoweza kusaidia kuzuia, kukabiliana na kujenga ustahimilivu dhidi ya mioto misituni.
  1. Sura kwa Anwani ya Fenolojia: Mabadiliko ya tabianchi huvuruga ruwaza asilia ya mazingira inaangazia jinsi mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri ruwaza ya hatua mbalimbali maishani mwa spishi za wanyama na mimea, matokeo yake, na umuhimu wa kukabiliana na hali hii kwa kuboresha uunganishaji wa ubayoanuai wa kibayolojia, na hasa, kupunguza uzalishaji wa gesi ya ukaa.

Emerging environmental issues that we should be paying attention to

Since 2016, UNEP’s Frontiers Reports have cast a spotlight on emerging environmental issues. This year’s edition, Noise, Blazes and Mismatches, looks at three concerns: urban soundscapes, wildfires and phenological shifts.

Interactive feature

It’s easy to overlook noise pollution. But sounds like traffic, construction, and security alarms – collectively known as urban soundscapes – can cause long-term physical and mental health issues.

Deadly wildfires, noise pollution, and disruptive timing of life cycles: UN report identifies looming environmental threats

Wildfires are burning more severely and more often, urban noise pollution is growing into a global public health menace, and phenological mismatches