Washindi

Showing 1 - 2 of 2

2 results found

Emmanuel Macron
Rais wa Ufaransa

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amelipa swala la utunzaji wa mazingira kipau mbele katika ajenda yake ya nchi za kigeni. Anatambuliwa kwa kupigania kuwepo kwa Muungano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua na kukuza ushirikiano wa kimataifa ili kushughulikia masuala ya mazingira, na kwa uongozi wake kuhusiana na Mkataba wa Kimataifa wa Mazingira.

Narendra Modi
Waziri Mkuu wa India

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa linamutambua Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa uungozi wake wa kishujaa kuhusiana na masuala ya mazingira katika ngazi ya kimataifa. Chini ya uongozi wa Narendra Modi, India iliahadi kukomesha matumizi ya plastiki zinazotumiwa tu mara moja katika nchi hiyo kufikia mwaka wa 2022. Waziri Mkuu, Modi,…