Mabingwa wa Dunia Mwaka wa 2020

Mabingwa wa Dunia wa 2020 ni sehemu ya urathi wa watu ambao hatua zao madhubuti zimepelekea ushindi wa mazingira ambao umeboresha jamii zetu.

Kwa kuangazia kazi nzuri inayofanywa kna wanaopigania mazingira, matuzo ya Mabingwa wa Dunia yanalenga kuchochea na kutoa motisha kwa watu zaidi kuchukua hatua kwa manufaa ya mazingira.

Pamoja, #TutunzeMazingira.