PATA
MAWAZO
:

Kujitolea

Jiunge na shirika linaounga mkono juhudi za kujali mazingira - au unda shirika lako.

Inaweza kuwa vigumu kwa mtu binafsi kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Lakini kuna mashirika mengi unayoweza kujiunga nayo ili kuendelea kuwa na motisha na kuimarisha athari yako. Mashirika mengi ya kimataifa yana vifaa vya kuanzisha matawi katika eneo. Unaweza hata kujitolea kufanya kazi na UNEP.

Tafuta hapa fursa za kufanya kazi na UN bila malipo
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.