Chukua Hatua Sasa
Hamasisha!

UN environment programme

Toa wito kwa viongozi duniani, mji wako, benki yako na mwajiri wako kuchukua hatua za dharura za kutozalisha gesi ya ukaa.

UMUHIMU WA KUHAMASISHA

Kushughulikia mazingira ni wajibu wetu sote. Ni hali inayotuhusu sisi sote. Hakuna anayeweza kufanya kazi hii pekee yake – ila tunaweza kushirikiana kuifanya.

Hiyo ndiyo sababu tunapaswa kuhamasisha watu zaidi kuchukua hatua na kusukuma mashirika na wanasiasa kuchukua hatua.

PATA MAWAZO

Hapa kuna baadhi ya njia unazoweza kutumia kuhamasisha na kuleta mabadiliko:

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.