PATA
MAWAZO
:

Siasa

Toa wito kwa wasimamizi wa miji kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kujiunga na kampeni ya Race to Resilience.

Miji mingi tayari inashuhudia athari za mabadiliko ya tabianchi. Ni kazi yake kuweka mikakati ya kukabiliana na hali hiyo. Pigania ushughulikiaji wa kutosha wa mazingira unakoishi.

Soma kuhusu miji na kampeni ya Race to Resilience.
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.