PATA
MAWAZO
:

Siasa

Toa wito kwa serikali yako kuimarisha Mikakati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi na kuimarisha ufadhili wake kwa kuzingatia Mkataba wa Paris.

Andikia wawakilishi wa serikali yako, andaa mikutano, andaa mijadala ya kisiasa au jiunge na chama cha kisiasa ili kusikika.

Soma kuhusu Mikakati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.