PATA
MAWAZO
:

Maisha Yako Binafsi

Pigania kuwepo na muziki endelevu unaopendeza

Haijalishi kama wewe ni mpenda mziki, mwanamziki, eneo, tamasha au studio. Unaweza kufanya mabadiliko kwa kupunguza uzalishaji wako wa gesi ya ukaa. Na unaweza kuhimiza mwanamziki unayempenda, eneo, tamasha au studio kupunguza kiwango chake cha uzalishaji.

Soma kuhusu Mapinduzi ya Muziki Unaojali Mazingira
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.