PATA
MAWAZO
:

Siasa

Toa wito kwa wasimamizi wa miji kuweka malengo ya kutozalisha gesi ya ukaa na ijiunge na kampeni ya Race to Zero.

Miji hutekeleza wajibu muhimu wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa dharura. Pigania ushughulikiaji wa mabadiliko ya tabianchi unakoishi.

Soma kuhusu miji na kampeni ya Race to Zero
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.