PATA
MAWAZO
:

Kazini

Toa wito mahali unapofanya kazi kuweka malengo la kutozalisha gesi ya ukaa na kushiriki kwenye kampeni ya Race to Zero.

Kama mwajiriwa, unafahamu shirika ulalofanyia kazi na njia mwafaka ya kulifikia. Uliza viongozi wako kujiunga na kampeni ya Race to Zero na kuzingatia Mkataba wa Paris. Mbali na nishati jadidifu kuwa bora zaidi kwa mazingira kuliko nishati ya visukuku, kwa kuzingatia kipindi cha mda fulani na mda mrefu, huwa mwafaka zaidi na nafuu kuliko nishati ya visukuku.

Soma kuhusu kampuni na kampeni ya Race to Zero
Elezea marafiki wako

Pakua Programu ya Chukua Sasa kwenye simu yako ili ufuatilie hatua zako za kushughulikia mazingira

Jisajili hapa ili kupata habari za UNEP kuhusu hali ya hewa na mawazo kuhusu njia unazoweza kutumia kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.