#
23 May 2019 Video Ocean & Coasts

Mpango wa Ruzuku Ndogo za Mazingira wa ICRI/UN

#

Mpango huu wa ruzuku ni mpango wa pamoja wa Mpango wa Kimataifa wa Miamba ya Matumbawe (ICRI) na na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, wa kuchochea utekelezaji wa Mpango wa Utekelezaji wa ICRI 2016-2018 na azimio la 2/12 la Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA) kuhusu usimamizi endelevu wa miamba ya matumbawe.

Mpango wa Ruzuku wa Mazingira wa ICRI/UN uliundwa ili kuchombea miradi inayoonyesha na kuchochea utunzaji na usimamizi ulioimarishwa wa miamba ya matumbawe na mifumo na mfumo husika ya ekolojia, haswa kwa kukuza ustahimilivu wa mifumo ya ekolojia, watu wanaoitegemea na sekta za kiuchumi.  Miradi bunifu na inayoweza kuigwa itazingatiwa vyema.

Maudhui Yanayokaribiana