Showing 1 - 1 of 1
1 matokeo yaliyopatikana
Familia na jamii zinaangamia, zinapoteza makao yao na vyanzo vyao vya kipato. Mara nyingi, hali hii hutokana na kiangazi, mafuriko ya ghafla na mioto misituni. Hizi athari ghasi kutokana na hali mbaya ya
hewa isiyoweza kutabirika, zinatokea mara kwa mara na kwa kiwango kikubwa katika sehemu nyingi ulimwenguni. Sasa, zaidi ya aina milioni ya viumbe viko karibu kuangamia kabisa. Hali hii…
Showing 1 - 1 of 1