Maangazio

squiggly
Kwa kindi cha miaka 50 Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) limeratibu juhudi za kukabiliana na changamoto kuu zaidi za mazingira duniani kote. Uwezo wa UNEP wa kuitisha mikutano na utafiti mkuu wa kisayansi umetoa jukwaa kwa nchi kushiriki, kuchukua hatua dhabiti na kuendeleza ajenda ya mazingira duniani.