Publication

Zana za Mawasiliano za UNEP@50 kwa Nchi Wanachama

20 October 2021
Cover page

Kwa kipindi cha miaka 50, UNEP imeratibu juhudi za kimataifa na Nchi Wanachama kushughulikia changamoto kuu zaidi za mazingira duniani. Nchi Wanachama ni washirika muhimu katika kutunga sera ya UNEP, kutekeleza programu za UNEP na kutafuta masuluhisho kwa changamoto za mazingira zinazotukumba sisi sote.

Tunapoelekea UNEP@50, tunatoa wito kwa Nchi Wanachama kushiriki maadhimisho kwa kuonyesha masuluhisho, shughuli na mafanikio yao kuhusiana na masuala nyeti ya mazingira. Zana hizi za UNEP@50 Toolkit zimeundwa ili kusaidia juhudi hizi.

Linki za ziada: