Lini: Alhamisi Februari 17 2022; 2:00pm EAT/12:00pm CET/6:00am EST
Wapi: Mtandaoni
Muda: Saa moja
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) litazindua toleo la mwaka wa 2022 la Ripoti ya Masuala Ibuka: Masuala Ibuka Yanayoathiri Mazingira kwa mkutano na wanahabari mtandaoni tunapoelekea UNEA 5.2.
Ripoti ya UNEP ya Masuala Ibuka imetambulisha na kuangazia masuala ibuka yanayoathiri mazingira. Toleo la mwaka wa 2022 linaendeleza kazi hii kwa kutambulisha changamoto za mazingira na masuhuhisho yake ili kuzishughulikiwa kikamilimu kwa mda unaofaa. Baadhi ya masuala yanaweza kuhusu tu eneo, yanaweza kuwa madogomadogo kwa sasa, ila yana uwezekano wa kuenea maeneo mengine au kuathiri ulimwengu mzima yasiposhughulikiwa mapema.
Ripoti hii ina sura ifuatayo:
Wanajopo: