Picha: Unsplash/William Gibson
07 Oct 2022 Andikablogu Uchumi usiochafua mazingira

Kufadhili Mazingira: Podkast maalum ya COP27

Kufdhili Mazingira: Podkast maalum ya COP27 ni podkasti inayoandaliwa kwa ushirikiano wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) na Taasisi ya Ufadhili Usiochafua Mazingira (GFI) kama sehemu ya maandalizi ya COP27

Mfulilizo wa matukio tano yatakayohamasisha kuhusu umuhimu wa ufadhili kwa sekta binafsi ili kupata mafanikio chanya tunayohitaji kwa dharura ili kukabiliana na mabadiliko ya taianchi na kushughulikia hali hiyo.

 

Matukio

Matukio yatakayofuata yatapatikana tarehe 12,19, 26 mwezi wa Oktoba na Novemba 2, 2022.