Mnamo Septemba mwaka wa 2018, David R. Boyd, mjumbe maalum wa haki za binadamu na mazingira atoa ujumbe wa video kwa mradi wa Environmental Rights Initiative nchini Brazil.