05 Aug 2020 Video Vichimbuaji

Viwango vya Kimataifa vya Usimamizi wa Sekta ya Uchimbaji wa Madini

Taka inayotokana na uchimbaji wa migodi inaweza kusababisha madhara makubwa kwa binadamu na kwa mazingira. Na lengo la kutosababisha madhara yoyote, Viwango vya Kimataifa vya Usimamizi wa Sekta ya Uchimbaji wa Madini kutoa mwongozo wa kusimamia vituo vya uchimbaji wa madini kwa njia salama.

Viwango hivyo vimewekwa kwa ushirikiano na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Kanuni za Uwekezaji Mwafaka (PRI) na Baraza la Kimataifa la Uchimbaji wa Mikodi na Madini (ICMM)

Viwango hivyo vinahusu mchakato mzima wa uchimbaji wa madini na lengo la kuwa na matokeo mazuri ya kijamii, kwa mazingira na ya kiufundi.