Showing 1 - 3 of 3
3 matokeo yaliyopatikana
Lini: Agosti 14-18, 2023
Wapi: Hoteli ya Ethiopian Skylight, Barabara ya Uwanja wa Ndege, Addis Ababa, Ethiopia
Kaulimbiu: Kuchukua fursa na kuimarisha ushirikiano ili kukabiliana na changamoto za mazingira barani Afrika
Kikao cha kumi na tisa cha kawaida cha AMCEN kitafanyika kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 18 Agosti mwaka wa 2023 katika Hoteli ya Ethiopian Skylight…
Lini: Juni 26, 2023
Wapi: Kote duniani
Siku ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Mifumo ya Ekolojia ya Mikoko huadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Julai, na inalenga kuhamasisha kuhusu umuhimu wa mifumo ya ekolojia mikoko kama “mifumo ya ekolojia ya kipekee, maalum na iliyo hatarini” ana kukuza masuluhisho ya kuishughulikia, kuihifadhi na kuitumia kwa njia endelevu.
Siku hii ya…
Nini: Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kitaimarisha juhudi za kushughulikia mazingira kweye muktadha wa maendeleo endelevu, na kutoa kipaumbele kwa utekelezaji wake kikamilifu. Kikao hiki cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika mwaka wa 2021 kitatumiwa kuhamasisha, kutia motisha na kutia moyo Nchi Wanachama na wadau kushiriki na kutekeleza mbinu…
Showing 1 - 3 of 3