Report

Ripoti ya 2019 Kuhusu Hali ya Nishati Jadidifu

19 June 2019

REN21 inashirikisha wataalamu waundaji sera wa kimataifa kutoka kwa serikali, mashirika kati ya serikali mbalimbali, vyama vya viwanda, NGOs, na sayansi na akademia. Inakua mwaka baada ya mwaka na ni kiwakilisho cha sekta anwuai. REN21 ni jukwaa kwa jamii hii inayojumuisha wahusika mbalimbali kubadilishana ujumbe na mawazo, kujifunza kutoka kwa kila mmoja wao na kwa pamoja kuunda nishati jadidifu ya siku za usoni. Jumuiko hili huwezesha sekritariet ya REN21 kuchapisha jarida kila mwaka, kutoa ripoti ya the Renewables Global Status Report (GSR), na kufanya mchakato wa kuunda ripoti kuwezekana kutokana na juhudi za pamoja.

Maeleza zaidi

Mada