Showing 1 - 11 of 11
11matokeo yaliyopatikana
Zaidi ya asilimia 80 ya watu kutoka nchi za chini ya Jangwa la Sahara hutegemea bayomasi kupika na kupata joto.
Kila asubuhi mjini Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia wenye shughuli nyingi, hali ni ile ile.
Kwa miaka mingi ilionekana kama Ziwa Turkana, linaloptikana katika eneo kame Kaskazini mwa Kenya, lilikuwa linakauka.
Mfumo anwai wa matibabu unaojali watu, wanyama, na mazingira ni muhimu ili kukomesha magonjwa kuenea kutoka wanyama hadi kwa binadamu.
Dunia inakabiliana na changamoto kuu mno za bayoanuai na za mabadiliko ya tabianchi. Njia moja ya kukabiliana na hali hii ni kuboresha ardhi iliyoharibika…
Mahojiano na Richard Munang, mtaalamu wa masuala ya mazingira na Afrika wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa
COVID-19 ni mfano mmoja tu wa hali ya ongezeko la magonjwa – kuanzia kwa Ebola hadi kwa MERS, homa ya West Nile na homa ya Bonde la Ufa – husababishwa na virusi…
Kampala, Februari 24, 2020: Waunda sera na wadau kote barani Afrika wanakusanyika ili kujadili uwezekano wa kuwa na uchumi unaotumia nishati isiyochafua mazingira…
Bogotá/Nairobi, Juni 5, 2020 – Wakati ambapo mataifa ulimwenguni yanapong'ang'ana kusitisha janga la COVID-19, mwaka huu, Siku ya Mazingira Duniani suala la jinsi…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Nchi nyingi za Afrika zinazopatikana Kusini mwa jangwa la Sahara hazina chakula cha kutosha. Hali hii hutokana na sababu nyingi. Na katika hali zinginezo,…