Showing 1 - 4 of 4
4 matokeo yaliyopatikana
Lini: Agosti 14-18, 2023
Wapi: Hoteli ya Ethiopian Skylight, Barabara ya Uwanja wa Ndege, Addis Ababa, Ethiopia
Kaulimbiu: Kuchukua fursa na kuimarisha ushirikiano ili kukabiliana na changamoto za mazingira barani Afrika
Kikao cha kumi na tisa cha kawaida cha AMCEN kitafanyika kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 18 Agosti mwaka wa 2023 katika Hoteli ya Ethiopian Skylight…
Lini: Novemba 18 - 24, 2022
Wapi: Kote duniani
Mashirika manne - Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Shirika la Afya Duniani (WHO), na Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH, lililoanzishwa kama OIE) wanafuraha kutangaza kaulimbiu ya Wiki ya Uhamasishaji kuhusu Antimikrobia Duniani (WAAW) Mwaka wa 2022…
Nini: Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kitaimarisha juhudi za kushughulikia mazingira kweye muktadha wa maendeleo endelevu, na kutoa kipaumbele kwa utekelezaji wake kikamilifu. Kikao hiki cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika mwaka wa 2021 kitatumiwa kuhamasisha, kutia motisha na kutia moyo Nchi Wanachama na wadau kushiriki na kutekeleza mbinu…
Mabadiliko ya tabianchi ni suala nyeti katika kipindi hihi tunachoishi. Sasa ndio wakata mwafaka wa kushughulikia suala hili. Bado kuna mda wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Lakini, tunahitaji juhudi nyingi kutoka katika sekta zote katika jamii. Ili kuimarisha juhudi na kuongeza kasi ili kutekeleza Mkataba wa Paris kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa…
Showing 1 - 4 of 4