Ripoti ya UNEP inayotolewa kila mwaka

Waandishi: UNEP

Ripoti ya UNEP inayotolewa kila mwaka huangazia mambo muhimu kutokana na kazi ya shirika ya  kushughulikia changamoto za aina tatu duniani za mabadiliko ya tabianchi, uharibifu wa mazingira na wa bayoanuai, na uchafuzi na taka.