Showing 16 - 30 of 35
35matokeo yaliyopatikana
Ripoti inayotolewa kila mwaka na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa ya Hatua Zilizosalia Kupunguza Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu sasa inapatikana mtandaon…
Makadirio ya gharama za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika nchi zinazoendelea ni kubwa mara tano hadi kumi zaidi kuliko mtiririko wa sasa wa fedha za…
Uwekezaji duniani ulipungua kwa asili mia 11 ikilinganishwa na mwaka wa 2017, ikichangiwa kiasi na kuanguka kwa bei ya nishati ya jua.
Majengo na ujenzi huzalisha takribani asilimia 40 ya hewa ya kaboniksidi, ila bado hatua zinazochukuliwa hazitoshi.
Mahitaji ya kifedha ya nchi zinazoendelea sasa ni kati ya mara 10 na 18 zaidi kwa kuzingatia mtiririko wa kimataifa wa fedha za umma
Raia wa Kanada, mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Profesa Katharine Hayhoe ndiye mshindi wa Tuzo la Bingwa wa Dunia lilnalotolewa na Umoja wa Mataifa, katika…
Costa Rica yashinda tuzo muhimu la mazingira linalotolewa na Umoja wa Mataifa katika kitengo cha sera na uongozi Nchi kotoka Amerika ya Kati imetuzwa kwa kuwa…
Patagonia imepokea tuzo linalotolewa na Umoja wa Mataifa kwa heshima ya mazingira kutokana na kuwa na maono ya ujasiriamali.
Kampala, Februari 24, 2020: Waunda sera na wadau kote barani Afrika wanakusanyika ili kujadili uwezekano wa kuwa na uchumi unaotumia nishati isiyochafua mazingira…
Bustani za miche kubwa, ndogo au zisizonawiri, zinazopatikana barani Afrika hutofautiana kutokana na jinsi zinavyotengenezwa, zinavyohifadhiwa na kiwango cha ubora…
Wakati mwingi katika mwezi uliopita Flipflopi, mashua iliyotengenezwa kutoka kwa plastiki iliyowahi kutumika, imekuwa ikizunguka ziwa kubwa zaidi barani Afrika,…
Nchi nyingi za Afrika zinazopatikana Kusini mwa jangwa la Sahara hazina chakula cha kutosha. Hali hii hutokana na sababu nyingi. Na katika hali zinginezo,…
“Kila mara, ni vyema kutushirikisha, asema Kibarisho Leintoi, mama Mmasai mwenye umri wa miaka 36 aliye na watoto 8.
Nairobi, Octoba 16, 2020 – Zaidi ya vijana Waafrika 400 walituzwa kwa kuwa mstari mbele kukabiliana na uchafuzi wa plastiki katika jamii zao kupitia shindano la…