Showing 1 - 15 of 22
22matokeo yaliyopatikana
Juhudi kuanzia Amerika ya Kati hadi Asia Mashariki zatuzwa kama Miradi Mikuu ya Uboreshaji wa Mifumo ya Ekolojia Duniani Miradi hiyo sasa imetimiza masharti ya…
Dunia inakabiliana na changamoto kuu mno za bayoanuai na za mabadiliko ya tabianchi. Njia moja ya kukabiliana na hali hii ni kuboresha ardhi iliyoharibika…
Uwekezaji duniani ulipungua kwa asili mia 11 ikilinganishwa na mwaka wa 2017, ikichangiwa kiasi na kuanguka kwa bei ya nishati ya jua.
Nairobi, Machi 30, 2021 — Uchafuzi wa plastiki huathiri jamii zilizotengwa na jamii zinazoishi katika maeneo ambayo plastiki huzalishwa kwa viwango…
Nairobi, Septemba 7, 2020 - Matukio ya hali mbaya zaidi ya uchafuzi wa hewa yanapoendelea kuongezeka, juhudi za kimataifa za kupunguza uchafuzi wa hewa na athari…
Oktoba 20, 2021 - Ripoti ya Pengo la Uzalishaji ya mwaka wa 2021, ya taasisi kuu za utafiti na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), inaonyesha kuwa…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Nairobi, Novemba22, 2022 – Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) leo lilitangaza washindi wake wa mwaka wa 2022 wa Tuzo la Mabingwa wa Dunia…
Nairobi, Julai 27, 2023 – Idadi jumla ya kesi za mabadiliko ya tabianchi mahakamani imeongezeka maradufu tangu mwaka wa 2017 kote duniani.
Tuzo la Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) litatangaza juma lijalo washindi tano wa mwaka wa 2023 wa tuzo la Mabingwa wa Dunia, tuzo la Umoja wa…
Ripoti inayotolewa kila mwaka na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa ya Hatua Zilizosalia Kupunguza Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu sasa inapatikana mtandaon…
Bogotá/Nairobi, Juni 5, 2020 – Wakati ambapo mataifa ulimwenguni yanapong'ang'ana kusitisha janga la COVID-19, mwaka huu, Siku ya Mazingira Duniani suala la jinsi…
Stockholm, Novemba 8 2023 – Ripoti mpya kuu iliyochapishwa leo ina onyesha kuwa serikali zinapanga kuzalisha takriban asilimia 110 zaidi ya mafuta ya visukuku…
Frankfurt/Nairobi, Juni 10, 2020 – COVID-19 inapoathiri sekta inatotegemea nishati ya visukuku, ripoti mpya inaonyesha kuwa nishati jadidifu ina bei nafuu kuliko…
Asilimia 87 ya kati ya dola bilioni 540 ya msaada wa serikali wa kila mwaka kwa wakulima hujumuisha mikakati inayoathiri bei ile inayoweza kudhuru mazingira na afya…