Showing 1 - 2 of 2
2 matokeo yaliyopatikana
Lini: Alhamisi Februari 17 2022; 2:00pm EAT/12:00pm CET/6:00am EST
Wapi: Mtandaoni
Muda: Saa moja
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) litazindua toleo la mwaka wa 2022 la Ripoti ya Masuala Ibuka: Masuala Ibuka Yanayoathiri Mazingira kwa mkutano na wanahabari mtandaoni tunapoelekea UNEA 5.2.
Ripoti ya UNEP ya Masuala Ibuka imetambulisha na kuangazia…
Nini: Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kitaimarisha juhudi za kushughulikia mazingira kweye muktadha wa maendeleo endelevu, na kutoa kipaumbele kwa utekelezaji wake kikamilifu. Kikao hiki cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika mwaka wa 2021 kitatumiwa kuhamasisha, kutia motisha na kutia moyo Nchi Wanachama na wadau kushiriki na kutekeleza mbinu…
Showing 1 - 2 of 2