Showing 1 - 10 of 13
13 matokeo yaliyopatikana
Lini: Septemba 4-8 , 2023
Wapi: Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta (KICC), Nairobi, Kenya.
Usajili umefungwa.
Wiki ya Tabianchi barani Afrika (ACW) ni hafla ya kila mwaka ambayo huleta pamoja viongozi kutoka serikalini, mashirika ya biashara, mashirika ya kimataifa na mashirika ya uraia kutafuta njia za kupunguza uzalishaji wa gesi ya ukaa huku wakikabiliana na…
Lini: Agosti 14-18, 2023
Wapi: Hoteli ya Ethiopian Skylight, Barabara ya Uwanja wa Ndege, Addis Ababa, Ethiopia
Kaulimbiu: Kuchukua fursa na kuimarisha ushirikiano ili kukabiliana na changamoto za mazingira barani Afrika
Kikao cha kumi na tisa cha kawaida cha AMCEN kitafanyika kuanzia tarehe 14 hadi tarehe 18 Agosti mwaka wa 2023 katika Hoteli ya Ethiopian Skylight…
Lini: Juni 26, 2023
Wapi: Kote duniani
Siku ya Kimataifa ya Uhifadhi wa Mifumo ya Ekolojia ya Mikoko huadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Julai, na inalenga kuhamasisha kuhusu umuhimu wa mifumo ya ekolojia mikoko kama “mifumo ya ekolojia ya kipekee, maalum na iliyo hatarini” ana kukuza masuluhisho ya kuishughulikia, kuihifadhi na kuitumia kwa njia endelevu.
Siku hii ya…
Lini: Novemba 18 - 24, 2022
Wapi: Kote duniani
Mashirika manne - Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Shirika la Afya Duniani (WHO), na Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH, lililoanzishwa kama OIE) wanafuraha kutangaza kaulimbiu ya Wiki ya Uhamasishaji kuhusu Antimikrobia Duniani (WAAW) Mwaka wa 2022…
Lini: Machi 3 - 4, 2022
Wapi: Nairobi, Kenya
Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kilifuatiwa na kikao maalum kinachotambulika kana UNEP@50, kilichoendeshwa Machi 3 - 4, 2022, ili kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP). Kikao hicho maalum kiliendeshwa chini ya kaulimbiu ya "Kuimarisha UNEP ili kutekeleza…
Lini: Alhamisi Februari 17 2022; 2:00pm EAT/12:00pm CET/6:00am EST
Wapi: Mtandaoni
Muda: Saa moja
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) litazindua toleo la mwaka wa 2022 la Ripoti ya Masuala Ibuka: Masuala Ibuka Yanayoathiri Mazingira kwa mkutano na wanahabari mtandaoni tunapoelekea UNEA 5.2.
Ripoti ya UNEP ya Masuala Ibuka imetambulisha na kuangazia…
Nini: Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kitaimarisha juhudi za kushughulikia mazingira kweye muktadha wa maendeleo endelevu, na kutoa kipaumbele kwa utekelezaji wake kikamilifu. Kikao hiki cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika mwaka wa 2021 kitatumiwa kuhamasisha, kutia motisha na kutia moyo Nchi Wanachama na wadau kushiriki na kutekeleza mbinu…
Kila mwaka, Jukwaa la Kisiasa la Kiwango cha Juu kuhusu Maendeleo Endelevu (HLPF) la Umoja wa Mataifa hufanya mkutano ili kuendeleza ajenda ya Mifumo ya Umoja wa Mataifa inayohusu maendeleo endelevu. Huku COVID-19 ikiendelea kuhangaisha dunia, mkutano wa mwaka huu ni muhimu zaidi. Katika hali ya sintofahamu inayoendelea, HLPF inatoa fursa kwa serikali na mashirika ya uraia kuanza kujadiliana…
Mwaka huu, sherehe ya kuwatuza Mabingwa wa Dunia na Vijana Bingwa Duniani itafanyika wakati wa Kikao cha 74 katika wiki la Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 26 Septemba mwaka wa 2019 katika mji wa New York.
On 22 September, at least 34 CEOs from banks around the world will sign UNEP FI’s Principles for Responsible Banking – a major initiative that we have been working on which is expected to be signed by up to 100 banks by September. Citibank has just endorsed the Principles. The launch event will take place at UN Headquarters and Inger Andersen and the Secretary General will be present, along…
Showing 1 - 10 of 13