Showing 1 - 4 of 4
4 matokeo yaliyopatikana
Lini: Machi 3 - 4, 2022
Wapi: Nairobi, Kenya
Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kilifuatiwa na kikao maalum kinachotambulika kana UNEP@50, kilichoendeshwa Machi 3 - 4, 2022, ili kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP). Kikao hicho maalum kiliendeshwa chini ya kaulimbiu ya "Kuimarisha UNEP ili kutekeleza…
Lini: Alhamisi Februari 17 2022; 2:00pm EAT/12:00pm CET/6:00am EST
Wapi: Mtandaoni
Muda: Saa moja
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) litazindua toleo la mwaka wa 2022 la Ripoti ya Masuala Ibuka: Masuala Ibuka Yanayoathiri Mazingira kwa mkutano na wanahabari mtandaoni tunapoelekea UNEA 5.2.
Ripoti ya UNEP ya Masuala Ibuka imetambulisha na kuangazia…
Nini: Kikao cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa kitaimarisha juhudi za kushughulikia mazingira kweye muktadha wa maendeleo endelevu, na kutoa kipaumbele kwa utekelezaji wake kikamilifu. Kikao hiki cha tano cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa katika mwaka wa 2021 kitatumiwa kuhamasisha, kutia motisha na kutia moyo Nchi Wanachama na wadau kushiriki na kutekeleza mbinu…
Kila mwaka, Jukwaa la Kisiasa la Kiwango cha Juu kuhusu Maendeleo Endelevu (HLPF) la Umoja wa Mataifa hufanya mkutano ili kuendeleza ajenda ya Mifumo ya Umoja wa Mataifa inayohusu maendeleo endelevu. Huku COVID-19 ikiendelea kuhangaisha dunia, mkutano wa mwaka huu ni muhimu zaidi. Katika hali ya sintofahamu inayoendelea, HLPF inatoa fursa kwa serikali na mashirika ya uraia kuanza kujadiliana…
Showing 1 - 4 of 4