Showing 1 - 11 of 11
11matokeo yaliyopatikana
Je wajua kwamba, kwa kawaida, chini ya asilimia 7 ya bei ya kipande chako ya chokoleti huenda kwa wazalishaji wa kakao?
Nairobi, Octoba 20, 2020 - Mamilioni ya magari yaliyowahi kutumika ikijumuisha motokaa, magari ya mizigo na basi ndogo yanayouzwa kutoka Ulaya, Marekani na Japan…
Kukomeshwa rasmi kwa matumizi ya petroli iliyo na risasi kutazuia vifo vya mapema takribani milioni 1.2 na kuokoa dola za Marekani milioni 2.44 kwa mwaka…
Nairobi, Octoba 16, 2020 – Zaidi ya vijana Waafrika 400 walituzwa kwa kuwa mstari mbele kukabiliana na uchafuzi wa plastiki katika jamii zao kupitia shindano la…
Abidjan, Juni 5, 2023 - Watu binafsi, jamii, mashirika ya uraia,mashirika ya biashara, na serikali kote ulimwenguni leo waliadhimisha Siku ya Mazingira Duniani…
Kampala, Februari 24, 2020: Waunda sera na wadau kote barani Afrika wanakusanyika ili kujadili uwezekano wa kuwa na uchumi unaotumia nishati isiyochafua mazingira…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Nairobi, Septemba 19, 2022 – asilimia 78 ya wakazi barani Afrika husafiri kwa miguu na kutumia baiskeli kila siku, ila hali ngumu, hatari na zisizofaa huchangia…
Kamati ya Mabalozi wa Kudumu huandaa mikutano ya Mkutano Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na kufuatilia mara kwa mara utekelezaji wa maamuzi yalichokuliwa Kamati ya Mabalozi wa Kudumu…
Kamati ya Mabalozi wa Kudumu huandaa mikutano ya Mkutano Mkuu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na kufuatilia mara kwa mara utekelezaji wa maamuzi yalichokuliwa Kamati ya Mabalozi wa…