Showing 16 - 30 of 31
31matokeo yaliyopatikana
Nairobi/Brussels/New York, Novemba 23 - Kupitia hatua zitakazosaidia kukabaliana na chanzo kikubwa cha changamoto za mazingira zinazoweza kutatuliwa, wahusika wakuu…
Moto unaoendelea kuteketeza misitu ya Amazon ni kielelezo tosha cha changamoto za mazingira zinazoikumba dunia -za hali ya hewa, za bayoanuai na za uchafuzi wa hewa…
Aprili 22 ni Siku ya Dunia.
Mfumo anwai wa matibabu unaojali watu, wanyama, na mazingira ni muhimu ili kukomesha magonjwa kuenea kutoka wanyama hadi kwa binadamu.
Ahadi za kushughulikia mazingira zitapelekea dunia kushuhudia ongezeko la joto la nyuzijoto kati ya 2.4 na 2.6 kufikia mwisho wa karne hii
Uwekezaji duniani ulipungua kwa asili mia 11 ikilinganishwa na mwaka wa 2017, ikichangiwa kiasi na kuanguka kwa bei ya nishati ya jua.
Tarehe 20 Oktoba, Kenya yasherehekea Siku ya Mashujaa. Siku hii imetengwa ili kusherehekea mashujaa waliopigania uhuru wa nchi.
Benki ya Biashara na Maendeleo na UNEP washirikiana kufadhili tabianchiirobi, Novemba 5, 2019 – Wakitoa ahadi ya kuimarisha hatua zao za kukabiliana na mabadiliko…
Afrika imetunikiwa na maliasili nyingi inayojumuisha ardhi ya kilimo, maji, mafuta, gesi asili, madini, misitu na wanyama pori. Bara hili lina kiwango kikubwa cha maliasili duniani, ikiwa ni pamoja…
Kazi ya uhisani hutoa fursa ya kuokoa watu, kupunguza kuteseka na kudumisha utu wakati na baada ya majanga yanayosababishwa na watu na majanga ya kiasili…
Dunia inakabiliana na changamoto kuu mno za bayoanuai na za mabadiliko ya tabianchi. Njia moja ya kukabiliana na hali hii ni kuboresha ardhi iliyoharibika…
Taifa la Mauritius ambalo hushuhudia jua kali, taifa lililo na milima ya kuvutia, fukwe za kupendeza na maji tulivu, huvutia watalii wengi.
Umuhimu wa vijana wa Kiafrika katika majadiliano ya kimataifa kuhusu mazingira
Mpango kabambe wa kushughulikia mazingira barani Afrika: hatua zinazohitajika Waheshimiwa, wageni, wenzangu, wabia, mabibi na mabwana.
Inger Andersen aliteuliwa kama Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres mnamo Februari…