Showing 1 - 10 of 10
10matokeo yaliyopatikana
Usidanganyike na muonekano wa kawaida: mikoko ni muhimu kukabiliana na changamoto sugu tunazokumbana nazo duniani kwa sasa.
Islamabad/Nairobi, 5 June 2021 – Watu binafsi, jamii, mashirika ya uraia, mashirika ya biashara, na serikali kote ulimwenguni waliadhimisha leo Siku ya Mazingira…
Juni 4, 2021, Nairobi/Roma – Viongozi kote ulimwenguni katika nyanja za kisiasa, sayansi, jamii, dini na tamaduni walijumuika leo ili kuzindua rasmi Muongo wa Umoja…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Zaidi ya nchi nane kati ya kumi, Wanachama wa UNFCCC, zina chombo cha kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Juhudi kuanzia Amerika ya Kati hadi Asia Mashariki zatuzwa kama Miradi Mikuu ya Uboreshaji wa Mifumo ya Ekolojia Duniani Miradi hiyo sasa imetimiza masharti ya…
Nairobi, Julai 27, 2023 – Idadi jumla ya kesi za mabadiliko ya tabianchi mahakamani imeongezeka maradufu tangu mwaka wa 2017 kote duniani.