Showing 1 - 8 of 8
8matokeo yaliyopatikana
Zaidi ya miaka miwili iliyopita, Christophe Hodder alichaguliwa kama Mshauri wa kwanza wa Umoja wa Mataifa wa Usalama wa Hali ya Hewa na Mazingira nchini Somalia. …
Wakati ambapo mkulima Mohamed Ibrahim Aden hashughulikii mashamba yake binafsi, mara nyingi unaweza kumpata akinyuzia miche maji kwenye bustani ndogo ya miche…
Juhudi kuanzia Amerika ya Kati hadi Asia Mashariki zatuzwa kama Miradi Mikuu ya Uboreshaji wa Mifumo ya Ekolojia Duniani Miradi hiyo sasa imetimiza masharti ya…
Mahojiano na Richard Munang, mtaalamu wa masuala ya mazingira na Afrika wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa
Mganda, aliyekuwa mwalimu wa bayolojia na mkiambiaji wa masafa marefu Gerima Mustafa amemaliza kutembea umbali wa kilomita 664 katika eneo la Afrika Mashiriki ili…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Kwa miaka mingi ilionekana kama Ziwa Turkana, linaloptikana katika eneo kame Kaskazini mwa Kenya, lilikuwa linakauka.