Showing 1 - 15 of 20
20matokeo yaliyopatikana
Huenda ikawa ni tumbili wa jirani aliyeshuka chini kujiunga naye alipokuwa anajifunza piano, au klabu ya wanyamapori aliyoanzisha katika shule ya msingi mjini…
Mashua ya kwanza duniani kuundwa kutoka kwa taka ya plastiki inatoa suluhu kwa vitu vilivyowahi kutumika kutumika tena na kutoa wito wa kukomesha matumizi…
Tuzo la Umoja wa Mataifa la ngazi ya juu zaidi mwaka huu linamtuza waziri mkuu, mwanasayansi, wanawake wa kiasili, na mjasiriamali kwa kusababisha mabadiliko chanya…
Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi, makundi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira.
Mganda, aliyekuwa mwalimu wa bayolojia na mkiambiaji wa masafa marefu Gerima Mustafa amemaliza kutembea umbali wa kilomita 664 katika eneo la Afrika Mashiriki ili…
Kampala, Februari 24, 2020: Waunda sera na wadau kote barani Afrika wanakusanyika ili kujadili uwezekano wa kuwa na uchumi unaotumia nishati isiyochafua mazingira…
Wakati mwingi katika mwezi uliopita Flipflopi, mashua iliyotengenezwa kutoka kwa plastiki iliyowahi kutumika, imekuwa ikizunguka ziwa kubwa zaidi barani Afrika,…
Juhudi kuanzia Amerika ya Kati hadi Asia Mashariki zatuzwa kama Miradi Mikuu ya Uboreshaji wa Mifumo ya Ekolojia Duniani Miradi hiyo sasa imetimiza masharti ya…
Flipflopi, mashua kubwa mno duniani ya kwanza kutengenezwa kutoka kwa taka ya plastiki iliyokusanywa mijini na fukweni nchini kenya, inasafiri kuelekea Ziwa…
Umuhimu wa vijana wa Kiafrika katika majadiliano ya kimataifa kuhusu mazingira
Mganda, aliyekuwa mwalimu wa bayolojia na mkiambiaji wa masafa marefu Gerima Mustafa amemaliza kutembea umbali wa kilomita 664 katika eneo la Afrika Mashiriki ili…
Mara nyingi, katika majuma matatu yaliyopita, Flipflopi, mashua iliyotengenezwa kutoka kwa plastiki iliyotumika, ikijumuisha ndara kuukuu, imekua ikitua kwenye…
Kwa miaka mingi ilionekana kama Ziwa Turkana, linaloptikana katika eneo kame Kaskazini mwa Kenya, lilikuwa linakauka.
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia