Showing 1 - 15 of 31
31matokeo yaliyopatikana
New York, Septemba 22 , 2019 – Ili kuimarisha juhudi za kushughulikia mazingira na kudumisha uendelevu, benki maarufu zikishirikiana na Umoja wa mataifa zilizindua…
Ni zaidi ya miaka mitatu tangu Kenya ilipopiga marufuku matumizi ya baadhi ya mifuko ya plastiki kwenye jitihada za kutunza mazingira. Ni jambo ambalo limeifanya…
CO2 emissions increased to 9.95 GtCO2 in 2019. The sector accounts for 38% of all energy-related CO2 emissions when adding building construction industry emissions…
Oktoba 20, 2021 - Ripoti ya Pengo la Uzalishaji ya mwaka wa 2021, ya taasisi kuu za utafiti na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), inaonyesha kuwa…
Bogotá/Nairobi, Juni 5, 2020 – Wakati ambapo mataifa ulimwenguni yanapong'ang'ana kusitisha janga la COVID-19, mwaka huu, Siku ya Mazingira Duniani suala la jinsi…
COVID-19 ni mfano mmoja tu wa hali ya ongezeko la magonjwa – kuanzia kwa Ebola hadi kwa MERS, homa ya West Nile na homa ya Bonde la Ufa – husababishwa na virusi…
Nairobi/Victoria Falls, 23 Juni 2019 - Wakuu wa nchi, viongozi wa biashara, wataalamu wa kiufundi na wawakilishi wa jamii watakusanyika Zimbabwe katika mji wa…
Islamabad/Nairobi, 5 June 2021 – Watu binafsi, jamii, mashirika ya uraia, mashirika ya biashara, na serikali kote ulimwenguni waliadhimisha leo Siku ya Mazingira…
Nairobi/Victoria Falls, 24 Juni 2019 - Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa alifungua rasmi kongamano la kwanza kuwahi kufanyika katika bara la Afrika la Uchumi…
Agosti 5, 2020, London – Viwango vya Kimataifa vya Usimamizi wa Sekta ya Uchimbaji wa Madini (the Standard) vilivyozinduliwa leo, ni vya kwanza katika ngazi ya…
Nairobi, 15 Juni 2019 –Mtaalamu wa masuala ya uchumi na mazingira Inger Andersen ameanza kazi yake mpya leo kama Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mazingira la…
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Nairobi, Aprili 22, 2020 - katika juhudi za kukabiliana na janga la COVID-19, muungano ambao haukutarajiwa umebununiwa ili kuzindua “Earth School,” inayotoa makala…
Patagonia imepokea tuzo linalotolewa na Umoja wa Mataifa kwa heshima ya mazingira kutokana na kuwa na maono ya ujasiriamali.
Siku ya Wanyamapori Duniani (Tarehe 3 mwezi wa Machi) ni siku ya kujivunia viumbe vyote.