Showing 1 - 15 of 69
69matokeo yaliyopatikana
Nchi nyingi za Afrika zinazopatikana Kusini mwa jangwa la Sahara hazina chakula cha kutosha. Hali hii hutokana na sababu nyingi. Na katika hali zinginezo,…
Ziwa Bogoria linalopatikana kwenye eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya, ni ziwa la magadi – lina chumvi na alikali nyingi, kwa hivyo samaki hawawezi kuishi ndani…
Kikosi cha Ulaya, kwa ushirikiano na Magavana wa kaunti sita za pwani nchini Kenya, Wizara ya Ugatuzi na Sekretarieti ya Uchumi wa Maeneo ya Bahari, walizindua …
Tarehe 20 Oktoba, Kenya yasherehekea Siku ya Mashujaa. Siku hii imetengwa ili kusherehekea mashujaa waliopigania uhuru wa nchi.
Wakati Zipporah Matumbi alipokuwa anakua, alipendezwa na jinsi misitu ya kijijini mwake kinachopatikana Mashariki mwa Kenya ilivyokuwa imejaa miti…
"Kila mara uliza watu kile wanachohitaji, sikiliza maoni yao na uwashirikishe.
Pale ambapo mfumo wa ikolojia uliodhibitishwa na kuidhinishwa unasadia pia kupunguza umaskini na kuimarisha uchumi, mara nyingi utaungwa mkono na serikali kama…
Tarehe 19 Novemba ni Siku ya Choo Duniani. . Kaulimbiu ya mwaka wa 2020 ni usafi endelevu na mabadiliko ya tabianchi.
Nchini Kenya, zaidi ya vyuo vikuu 70 vinatakiwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na Serikali ya Kenya kufanya kazi kwa pamoja ili kuyafanya mabewa yake…
"Ni sharti jamii za wenyeji zishirikishwe wakati wa kufanya maamuzi kuhusu misitu inayoathiri hali yao ya maisha," anasema Tecla Chumba, mama wa watoto wanne,…
Zaidi ya asilimia 80 ya watu kutoka nchi za chini ya Jangwa la Sahara hutegemea bayomasi kupika na kupata joto.
“Kila mara, ni vyema kutushirikisha, asema Kibarisho Leintoi, mama Mmasai mwenye umri wa miaka 36 aliye na watoto 8.
Katika dunia iliyo na utandawazi, changamoto za mazingira zinahitaji kushughulikiwa kwa njia mwafaka zinazodumisha amani, haki, maendeleo na inayowezesha…
Tunapoelekea Siku ya Wanawake Duniani, Shirika la wanawake la Umoja wa Mataifa linajivunia watu wote waliochukua hatua za kufanya dunia kuwa na usawa wa kijinsia…