Showing 1 - 15 of 35
35matokeo yaliyopatikana
Dunia inarejelea hali yake ya awali: Umoja wa Mataifa unatambua Miradi Saba Mikuu ya Kuboresha Mifumo ya Ekolojia
Tuzo la Vijana Bingwa Duniani hutolewa kila mwaka kwa wajasiriamali saba walio na umri usiozidi miaka 30 walio na maono dhabiti ya kusababisha mabadiliko ya kudumu…
Siku ya Wanyamapori Duniani (Tarehe 3 mwezi wa Machi) ni siku ya kujivunia viumbe vyote.
Nairobi, Septemba 7, 2021 – Leo, maadhimisho ya pili ya Siku ya Kimataifa ya Hewa Safi ili kuwa na angaa za bluu yalitokea duniani chini ya kaulimbiu Hewa bora,…
Nairobi, Septemba 2, 2021 – Theluthi moja ya nchi ulimwenguni hazina viwango vyovyote vilivyoidhinishwa kisheria kuhusu ubora wa hewa ya nje (mazingira kwa jumla)…
Mpango kabambe wa kushughulikia mazingira barani Afrika: hatua zinazohitajika Waheshimiwa, wageni, wenzangu, wabia, mabibi na mabwana.
Upendekezaji wa tuzo la mwaka wa 2024 la UNEP la VijanaBingwa wa Dunia umefunguliwa
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa leo lilitangaza majina ya watu thelathini na tano wanaowakilisha kanda zao kuwania tuzo la Vijana Bingwa Duniani. Ni tuzo…
Wakati ambapo mkulima Mohamed Ibrahim Aden hashughulikii mashamba yake binafsi, mara nyingi unaweza kumpata akinyuzia miche maji kwenye bustani ndogo ya miche…
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa lilitangaza leo majina 35 ya washiriki wa fainali wanaowania tuzo la Vijana Bingwa duniani, ambalo ni tuzo la kiwango cha…
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) lilitangaza leo kuwa Hababi David Attenborough ndiye mshindi wa Tuzo la
Kilichoharibika katika mwaka wa 2019: Tani milioni 931 ya chakula kinachouzwa kwa familia, kwa wauzaji, mikahawani na huduma nyinginezo za chakula…
COVID-19 ni mfano mmoja tu wa hali ya ongezeko la magonjwa – kuanzia kwa Ebola hadi kwa MERS, homa ya West Nile na homa ya Bonde la Ufa – husababishwa na virusi…
Nairobi, Julai 27, 2023 – Idadi jumla ya kesi za mabadiliko ya tabianchi mahakamani imeongezeka maradufu tangu mwaka wa 2017 kote duniani.