Showing 1 - 15 of 25
25matokeo yaliyopatikana
Juhudi kuanzia Amerika ya Kati hadi Asia Mashariki zatuzwa kama Miradi Mikuu ya Uboreshaji wa Mifumo ya Ekolojia Duniani Miradi hiyo sasa imetimiza masharti ya…
Uwekezaji duniani ulipungua kwa asili mia 11 ikilinganishwa na mwaka wa 2017, ikichangiwa kiasi na kuanguka kwa bei ya nishati ya jua.
Wakati ambapo mkulima Mohamed Ibrahim Aden hashughulikii mashamba yake binafsi, mara nyingi unaweza kumpata akinyuzia miche maji kwenye bustani ndogo ya miche…
Tuzo la Vijana Bingwa Duniani hutolewa kila mwaka kwa wajasiriamali saba walio na umri usiozidi miaka 30 walio na maono dhabiti ya kusababisha mabadiliko ya kudumu…
Madrid, Desemba 11, 2019 – Tunapoelekea mwaka muhimu wakati wa kufanya maamuzi muhimu kuhusu mazingira, Kolombia, Ujerumani na Shirika la Mazingira la Umoja wa…
Islamabad/Nairobi, 5 June 2021 – Watu binafsi, jamii, mashirika ya uraia, mashirika ya biashara, na serikali kote ulimwenguni waliadhimisha leo Siku ya Mazingira…
Nairobi/Seattle, December 2, 2020 - Makala maalum ya Production Gap Report – kutoka kwa mashirika makuu ya utafiti na Umoja wa Mataifa – inaon…
New York, 10 Julai 2019 - Leo, mitandao inayoleta pamoja Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya juu zaidi ya 7,000 kutoka kwa mabara yote 7, ilitangaza ya kuwa kuna…
Oktoba 20, 2021 - Ripoti ya Pengo la Uzalishaji ya mwaka wa 2021, ya taasisi kuu za utafiti na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), inaonyesha kuwa…
Ripoti ya UNEP/IUCN ya Sayari Iliyolindwa: maendeleo makubwa tangu mwaka wa 2010 kukiwa na zaidi ya kilomita mraba milioni 22 ya ardhi na kilomita mraba milioni 28…
Nairobi, Octoba 30, 2023 – Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) leo lilitangaza Mabingwa wa Dunia wa mwaka wa 2023, kwa heshima ya meya wa jiji, shirika…
Ripoti inayotolewa kila mwaka na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa ya Hatua Zilizosalia Kupunguza Pengo la Uzalishaji wa Gesi Chafu sasa inapatikana mtandaon…
Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira.
Asilimia 87 ya kati ya dola bilioni 540 ya msaada wa serikali wa kila mwaka kwa wakulima hujumuisha mikakati inayoathiri bei ile inayoweza kudhuru mazingira na afya…